Tumia Kanuni Hii Kutambua Kama Umepanga Nyumba Inayokudidimiza Kiuchumi
Ni tarehe 25. Mshahara umeingia. Lakini badala ya kutabasamu, unapata panic attack ndogo. Kwa nini? Kwa sababu unajua hesabu hazikai sawa (The […]
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuuza Nyumba Dar es Salaam Bila TRA Kula Faida Yako Yote (The Tax Math Nobody Talks About)
Tumeshazoea kuona video na makala nyingi sana mtandaoni zikifundisha: “Jinsi ya kununua nyumba Goba.” “Jinsi ya kujenga apartments Madale.” “Jinsi ya kupata […]
Jinsi ya Ku-Hack Soko la Nyumba Dar es Salaam (Stop Being a Victim) – Ni Kilaza Pekee Ambaye Atashindwa Kutoboa kwa PIN 10 Hizi
Dar es Salaam sio mji. Ni Marketplace iliyojaa Information Asymmetry. Kwenye soko hili, mwenye taarifa ndiye mfalme. Mwenye haraka ndiye mtumwa. Kila […]
Why “Ugly” Buildings in Kariakoo Are Making More Money Than Your “Glass Tower” in Masaki
I have a controversial question for you: Kwa nini jengo “chakavu” la Posta lina 100% occupancy, wakati jengo lako jipya la vioo […]
Unafanyia Kazi Nyumbani Kwa Ufanisi au Unajitesa? Hesabu za Kiuchumi Juu ya Nadharia Yakinifu ya “Home Office” Nchini Tanzania
Kuna picha inauzwa sana Instagram. Picha ya kijana aliye lala kwenye sofa, laptop mapajani, pembeni kuna kikombe cha kahawa, na caption inasema: […]
Jinsi ya Kuishi Kama Milionea Masaki kwa Bajeti ya Manzese (Na Kwanini Kuishi Peke Yako Kunakufanya Uwe Masikini)
Hebu nikuulize swali moja ambalo linaweza kukuumiza kidogo: Je, unajua kwamba unapoteza takriban Tsh Milioni 3.6 kila mwaka kwa sababu ya “Ego” […]
Mbinu Hii Inakufanya Umiliki Nyumba Bure Dar es Salaam na Kuacha Wapangaji Walipe Mkopo Wako (While Social Media Hates You)
Kuna aina mbili za vijana jijini Dar es Salaam. Wa kwanza ni “The Show-Off.” Huyu anafanya kazi Benki au Telecom. Anachukua mkopo […]
Jinsi ya Kuvutia Wapangaji wa Ndoto Yako (Na Kuondokana na Wale Pasua Kichwa)
Wiki iliyopita nilipigiwa simu saa nane usiku. Upande wa pili alikuwa mteja wangu, Mzee mmoja hivi mstaafu anayeishi Tabata. Ana nyumba zake […]
Jengo Lako ‘Kali’ Lakini Halina Wapangaji? Hii Ndio Sababu Unafilisiwa (Stop Designing in a Vacuum)
Nisikilize kwa makini. Wiki iliyopita nilifanya site visit kwenye jengo jipya kabisa maeneo ya Mikocheni. Jengo la vioo (Glass facade). Lami imemwagwa […]
Namna Soko la Nyumba la Dar es Salaam Linavyokuibia Tsh Milioni 1.2 Kila Unapohama (Na Jinsi ya Kuziokoa Leo)
Kuna uhalifu unaofanyika Dar es Salaam kila siku. Hauhusishi bunduki. Hauhusishi kuvunja benki. Unahusisha simu yako, jua kali, na maneno matatu: “Tuma […]
Nyumba Yako ni “Liability” Inayokula Pesa? Jinsi ya Kuacha Kuwa “Landlord Amateur” na Kuanza Kutengeneza Cashflow ya Kweli (Mwongozo wa 2026)
Kuna uongo mkubwa sana ambao tumelishwa tangu tukiwa wadogo. Uongo huo ni huu: “Jenga nyumba, pangisha, halafu utakaa na kusubiri pesa iingie […]
The Dar es Salaam Rental Trap: Kwanini Unapoteza Mamilioni kwa “Dalali Uchwara” na Jinsi ya Ku-Hack Soko la Real Estate 2026
Je, umechoka kupoteza muda na pesa kwa madalali wasioaminika? Je, unatamani kupata nyumba ya kupanga bila usumbufu na kwa haraka? Basi makala hii ni kwa ajili yako! Gundua mbinu za siri za kumtambua dalali wa nyumba mwenye uzoefu na uaminifu atakayekusaidia kupata nyumba inayokufaa bila stress.