Your journey from renter → homeowner starts here
Pango offers comprehensive guidance for renters looking to transition into homeownership. Our platform provides practical advice, tips, and resources to help you navigate the journey from renting to owning your own property.
Our featured articles are handpicked to give you the most valuable information
From savvy renting tips to step-by-step homeownership guides, we’ve got it all. Check out our top reads and start making informed decisions today. Trust us, you don’t want to miss these!
Inside story of our company.
Our latest news & updates
Jinsi ‘Clickbait’ Inavyoua Brand Yako ya Udalali (Na Kwanini Uaminifu ni Pesa)
Wiki iliyopita, niliona picha moja mtandaoni iliyonifanya nisimame na kushusha miwani yangu. (Hiyo picha hapo chini). Kuna kijana anatafuta kazi ya Marketing.…
Read More
Jinsi Unavyopigwa na Madalali wa Mbezi Beach Kwa Kutumia Hesabu za Darasa la Tatu (Na Jinsi ya Kujua Thamani Halisi ya Ardhi)
Ni Jumatatu asubuhi. Unataka kuwekeza. Una Milioni 300 benki. Unampigia simu Dalali. Unamuuliza: “Bwana mdogo, nataka kiwanja Mbezi Beach. Hivi bei ya […]
Kwa Nini Kumiliki Nyumba Moja ya Kupangisha Ni Njia Duni ya Kutajirika (Na Siri ya “721 Exchange” Ambayo Mataikuni wa Dar Wanaitumia)
Kuna uongo mkubwa ambao tumeulishwa tangu tukiwa wadogo hapa Tanzania. Uongo huo unasema: “Nunua kiwanja, jenga nyumba, pangisha, utatoka kimaisha.” Huu ni […]
Maswali 6 ya Kujiuliza Kabla Hujazika Pesa Yako Kwenye Jengo la Biashara (Na Kwa Nini “Fremu” Zinaweza Kuwa Mtego)
Wiki iliyopita nilikaa na mteja wangu mmoja, “Mzee K,” kule Serena Hotel. Mzee K ni mstaafu wa shirika la umma, na ana […]
News
Insights and Innovations in Green Technology and Environmental Solutions
Unajenga Kaburi au Nyumba? Mambo 10 Yanayokula 40% ya Pesa Zako Kwenye Ujenzi (Na Jinsi ya Kuziba Hiyo Mianya Leo)
Kuna kitu kinaitwa “The Stupid Tax.“ Samahani kama nimeanza kwa ukali, lakini katika miaka yangu 20 ya kusimamia miradi…
Makosa 3 Yanayokufanya Uwe Masikini Huku Ukiishi Nyumba ya Laki 3 (Na Jinsi ya Kuepukana na Maumivu ya Muda Mrefu)
Ni Jumamosi asubuhi. Jua la Dar es Salaam linawaka kwa ukali wa nyuzi joto 32. Uko juu ya bodaboda,…
Jinsi ya Kuzungumza na Mwenye Nyumba Unapomuomba Punguzo la Bei
Ni kawaida kwa mtu ku-bargain anapotaka kununua bidhaa au huduma. Na watanzania tuko vizuri sana kwenye eneo hili. Lakini…
Jinsi ya Kupata Nyumba ya Ndoto Yako Bila Kulipa “Hela ya Mwezi” Wala “Kiatu”
Hebu nikuulize swali moja la kikatili, na naomba uwe mkweli kwako mwenyewe. Je, inaingia akilini mwako kulipa Tsh 500,000/=…
Unafanya Kazi kwa Ajili ya “Landlord” au kwa Ajili Yako? – Jinsi ya Kukwepa “Umaskini wa Kodi” na Kuishi Nyumba ya Ndoto Yako (Bila Kufilisika)
Kuna ugonjwa wa kiuchumi unaotafuna “Middle Class” ya Tanzania bila wao kujua. Sio mfumuko wa bei wa sukari, wala…
Mbinu 12 za Kupunguza Gharama za Kukodi Nyumba Jijini Dar es Salaam (Na Jinsi Pango Inavyoweza Kukusaidia Kuokoa Pesa!)
Ikiwa unapanga kukodi nyumba jijini Dar es Salaam, unasubiri nini? Je, unajua kuna njia za kuokoa pesa, kuepuka madalali…
Unataka Ofisi Iwe Mashine ya Pesa au Kaburi la Biashara Yako? (Siri 12 Za Kuchagua Eneo La Ofisi Ambazo Madalali Hawatakwambia)
Nimefanya kazi ya Real Estate Dar es Salaam kwa miaka ya kutosha. Nimeona startups zikigeuka kuwa empires kwasababu walichagua…