Jinsi ‘Clickbait’ Inavyoua Brand Yako ya Udalali (Na Kwanini Uaminifu ni Pesa)
Wiki iliyopita, niliona picha moja mtandaoni iliyonifanya nisimame na kushusha miwani yangu. (Hiyo picha hapo chini). Kuna kijana anatafuta kazi ya Marketing. […]
Jinsi Unavyopigwa na Madalali wa Mbezi Beach Kwa Kutumia Hesabu za Darasa la Tatu (Na Jinsi ya Kujua Thamani Halisi ya Ardhi)
Ni Jumatatu asubuhi. Unataka kuwekeza. Una Milioni 300 benki. Unampigia simu Dalali. Unamuuliza: “Bwana mdogo, nataka kiwanja Mbezi Beach. Hivi bei ya […]
Kwa Nini Kumiliki Nyumba Moja ya Kupangisha Ni Njia Duni ya Kutajirika (Na Siri ya “721 Exchange” Ambayo Mataikuni wa Dar Wanaitumia)
Kuna uongo mkubwa ambao tumeulishwa tangu tukiwa wadogo hapa Tanzania. Uongo huo unasema: “Nunua kiwanja, jenga nyumba, pangisha, utatoka kimaisha.” Huu ni […]
Maswali 6 ya Kujiuliza Kabla Hujazika Pesa Yako Kwenye Jengo la Biashara (Na Kwa Nini “Fremu” Zinaweza Kuwa Mtego)
Wiki iliyopita nilikaa na mteja wangu mmoja, “Mzee K,” kule Serena Hotel. Mzee K ni mstaafu wa shirika la umma, na ana […]
Kwa Nini ‘Luxury Apartment’ Yako Masaki Inadharauliwa na Mpangaji (Somo la Kikatili Kutoka The Plaza Hotel)
Wiki hii, ulimwengu wa Luxury Hospitality ulipata mshtuko. Hoteli maarufu duniani, The Plaza Hotel (New York), ilizindua huduma ya “Home Alone 2 […]
Tumia Kanuni Hii Kutambua Kama Umepanga Nyumba Inayokudidimiza Kiuchumi
Ni tarehe 25. Mshahara umeingia. Lakini badala ya kutabasamu, unapata panic attack ndogo. Kwa nini? Kwa sababu unajua hesabu hazikai sawa (The […]
Uber Imetangaza Kuondoka Soko la Tanzania: Kwa Nini Mpangaji wa Kimara Anapaswa Kuogopa Kuliko Dereva wa Uber Mwenyewe
Tarehe 30 Januari 2026. Hiyo ndiyo tarehe ya kifo rasmi cha Uber Tanzania, kulingana na taarifa hii waliyotuma kwa wateja wao. Uko […]
Serikali Ina Mpango wa Kuuza Dhahabu, Wewe Unacheka na TikTok. (Jinsi Uamuzi Huu Utakavyoamua Kodi Yako ya Nyumba Mwaka 2026)
Ni Jumanne asubuhi. Upo kwenye foleni ya Morocco unawahi ofisini Posta. Radio inatangaza habari za michezo. Simba na Yanga. Instagram imejaa udaku […]
Kwa Nini Kuuza Nyumba ya Salasala Ili Kulipa Deni la Madale ni Kujichimbia Kaburi (Na Jinsi ya Kutoka Kwenye Shimo Hili Bila Kuua Asset)
Saa 11 alfajiri, nimepokea meseji kwenye WhatsApp. Ni ndefu. Imeandikwa kwa hisia nzito. Imejaa maneno kama “tuna shida,” “biashara zimefeli,” “kutaifishwa,” na […]
Kwa Nini Unapoteza Mamilioni Kwenye Nyumba (Na Mbinu za Kuchomoka)
Umenunua kiwanja Goba. Umejenga nyumba ya vyumba vitatu. Umeweka tiles za bei mbaya, gypsum za kisasa, na paving blocks. Umetumia jumla ya […]
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuuza Nyumba Dar es Salaam Bila TRA Kula Faida Yako Yote (The Tax Math Nobody Talks About)
Tumeshazoea kuona video na makala nyingi sana mtandaoni zikifundisha: “Jinsi ya kununua nyumba Goba.” “Jinsi ya kujenga apartments Madale.” “Jinsi ya kupata […]
Jinsi ya Ku-Hack Soko la Nyumba Dar es Salaam (Stop Being a Victim) – Ni Kilaza Pekee Ambaye Atashindwa Kutoboa kwa PIN 10 Hizi
Dar es Salaam sio mji. Ni Marketplace iliyojaa Information Asymmetry. Kwenye soko hili, mwenye taarifa ndiye mfalme. Mwenye haraka ndiye mtumwa. Kila […]