Tanzania “UNCHAINED”: Why The EU Delisting is the Biggest Real Estate News of 2026
Nisikilize kwa makini. Kwa miaka kadhaa, tumekuwa tukitembea na “minyororo” miguuni bila kujua. Kama wewe ni Mfanyabiashara, Real Estate Developer, au hata […]
Unatambuaje Kuwa Wewe Siyo “Real Estate Investor”, Wewe ni “Unpaid Site Foreman”? (Jinsi Hii Mindset Inavyokufilisi Pasipokujua)
Ni Jumatatu asubuhi tulivu. Nipo ofisini, nikipitia ripoti za soko la hisa. Simu yangu inaita. Ni mshikaji wangu wa siku nyingi, “Bwana […]
Kwa Nini Unaendelea Kutumia Mamilioni Kukarabati Jengo Jipya (Na Jinsi ya Kuacha Kuwa “Firefighter” Kwenye Uwekezaji Wako)
Ni Jumatatu asubuhi. Uko ofisini kwako Posta Mpya au kwenye duka lako Kariakoo. Simu inaita. Ni mpangaji wako wa Mbezi Beach. “Boss, […]
Jinsi ya Kung’amua Dili Bovu la Nyumba Ndani ya Dakika 5 (Kabla Hujapoteza Mamilioni)
Uko kwenye foleni Selander Bridge. Dalali amekupigia simu. Anakwambia kuna “Dili la Kufa Mtu” maeneo ya Mbweni JKT. Nyumba inauzwa Milioni 300. […]
Why “Ugly” Buildings in Kariakoo Are Making More Money Than Your “Glass Tower” in Masaki
I have a controversial question for you: Kwa nini jengo “chakavu” la Posta lina 100% occupancy, wakati jengo lako jipya la vioo […]
The “Silent Killer” of Real Estate Portfolios: Kwanini Barabara Mpya Inaweza Kufilisi Uwekezaji Wako
Nisikilize kwa makini. Kuna dhana mbaya sana ambayo kila mwekezaji wa ardhi Tanzania anajidanganya nayo. Dhana yenyewe ni hii: “Serikali ikileta lami […]
Kosa Namba 1 Linalowafanya Wenye Nyumba Dar es Salaam Kuuza Nyumba Zao kwa Hasara (Au Kununua kwa Bei ya Kichaa!)
Kuna uongo mmoja mkubwa sana ambao umepandikizwa kwenye vichwa vya wawekezaji wengi wa majengo hapa Tanzania. Uongo huu ndio sababu kwanini watu […]
Hii Ndiyo Njia Pekee ya Kuwa Real Estate Mogul Jijini Dar es Salaam, Arusha & Mwanza (Hata Kama Una Mtaji wa Laki Mbili)
Nisikilize kwa makini. Kuna uongo mmoja mkubwa ambao umekuwa ukiambiwa tangu unalelewa. Uongo ambao unakuweka masikini. Uongo wenyewe ni huu: “Ili kuwekeza […]
Kwa Nini Unapoteza Mamilioni Kwenye Real Estate Dar es Salaam (Na Jinsi ya Kuepuka Hasara Leo)
Wiki iliyopita nilikutana na Mzee mmoja, mstaafu wa serikali. Alikuwa mwenye huzuni sana. Kwa nini? Alitumia kiinua mgongo chake chote—TZS Milioni 250—kujenga […]
Tulivyooka TZS 170 Milioni Ambazo Zingepotea Kwa Kuuza Nyumba Akiwa na Aibu na Hofu ya Ndugu – Nawe Pia Unaweza Kutumia MBINU Hizi
Miezi 3 iliyopita niliitwa niende Mikocheni. Eneo la kifahari, upepo wa bahari unavuma, na nimekaa na Mzee mmoja, tumuite “Mzee K”. Ana […]
Kwa Nini Kununua Nyumba kwa “Cash” ni Ujinga wa Kiuchumi (Na Jinsi Matajiri wa Dar Wanavyotumia Pesa ya Benki Kujenga Dola)
Umekua ukisikia msemo huu tangu utoto: “Deni ni utumwa.” Wazazi wako walikuambia. Walimu wako walikuambia. Hata viongozi wa dini wanakwambia. Kwamba njia […]
Mbinu Hii Inakufanya Umiliki Nyumba Bure Dar es Salaam na Kuacha Wapangaji Walipe Mkopo Wako (While Social Media Hates You)
Kuna aina mbili za vijana jijini Dar es Salaam. Wa kwanza ni “The Show-Off.” Huyu anafanya kazi Benki au Telecom. Anachukua mkopo […]